Mwongozo huu ni maelekezo ya kiufundi kwa Taasisi za Umma na watumishi wa Serikali kufuata maagizo kuhusu matumizi ya TEHAMA na vifa vinavyohusiana.
Nyaraka zinazohusiana (3)
Mwongozo wa Mawasiliano kwa Njia ya Video Serikalini.
(November, 2019)
Maelezo
Mwongozo huu unaeleza taratibu na majukumu ya kufuatwa na Taasi za Umma na watumishi wa Serikali katika matumizi ya mawasiliano ya kuendesha mikutano kwa njia ya video.
Mwongozo wa Kusimamia na Kuendesha Tovuti za Serikali
(December, 2014)
Maelezo
Mwongozo huu unatoa utaratibu wa mambo ya msingi na muhimu ya kufuatwa na kuzingatiwa katika kusimamia na kuendesha Tovuti za Serikali.
Mwongozo na Viwango vya Mfumo Jumuishi wa Kielektroni wa Usimamizi wa Vituo vya Kutolea Huduma za Af
(November, 2019)
Maelezo
Mwongozo huu unaeleza masharti, viwango na miongozo kwa ajili ya utekelezaji wenye mfanikio na matumizi ya Mfumo Jumuishi wa Kielektroni wa Usimamizi wa Vituo vya Kutolea Huduma za Afya vya umma na vya binafsi nchini Tanzania. Pia unaeleza muundo wa uongozi na utawala katika Kamati ya Taifa ya Uendeshaji wa afya mtandao (NeHSC) utakao saidia kuhakikisha utekelezai wa jitihada za afya mtandao kwa wakati.