Serikali kwa Serikali (G2G)
Sehemu hii inahusu uhusiano baina ya Serikali na Taasisi za Umma. Lengo la G2G ni kuwawezesha taasisi za umma kupata taarifa na huduma kwa njia ya mtandao kupitia mifumo mbalimbali.
Usanifu na Utengenezaji: Mamlaka ya Serikali Mtandao
Usimamizi: Unaendeshwa na Unasimamiwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao
Usanifu na Utengenezaji: Mamlaka ya Serikali Mtandao kwa ushirikiano na Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa.
Usimamizi: Unasimamiwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao na Unaendeshwa na Taasisi husika kwa kuongozwa na Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa.
Usanifu na Utengenezaji: Mamlaka ya Serikali Mtandao.
Usimamizi: Unasimamiwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao na Unaendeshwa na Taasisi husika
Usanifu na Utengenezaji: Mamlaka ya Serikali Mtandao.
Usimamizi: Unasimamiwa na unaedeshwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao

Usanifu na Utengenezaji: Mamlaka ya Serikali Mtandao kwa kushirikiana na Wizara ya Fedha na Mipango
Usimamizi: Unasimamiwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao na unaendeshwa na Wizara ya Fedha na Mipango