Jitihada za Afya Mtandao na Maktaba ya Kidigiti (eHIDL)
Kuna jitihada nyingi za Afya zinazoendelea nchini.
Jitihada za Afya Mtandao na Maktaba ya Kidigiti zinatoa fursa kwa Wizara ya Afya, Wadau na umma kwa jumla kupata matokeo ya jitihada hizo kwa njia ya mtandao.
Umesanifiwa na kutengenezwa na: Mamlaka ya Serikali Mtandao kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watot
Unasimamiwa na: Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto