emblem

Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma
TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015

MAZOEZI KWA AFYA BORA: MKURUGENZI MKUU AONGOZA MAZOEZI YA e-GA JOGGING CLUB


MAZOEZI KWA AFYA BORA: MKURUGENZI MKUU AONGOZA MAZOEZI YA e-GA JOGGING CLUB


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Mhandisi Benedict Ndomba leo tarehe 18/10/2023 ameongoza mazoezi ya kikundi cha e-GA Jogging Club kinachoundwa na Watumishi wa Mamlaka hiyo Makao Makuu jijini Dodoma.

Mazoezi hayo ni mojawapo wa mkakati wa Mamlaka katika kupambana na magonjwa yasiyoambukizwa pamoja na kuimarisha afya za Watumishi.Kikundi hicho hufanya mazoezi kila siku ya Jumatano na Ijumaa.