Mamlaka ya Serikali Mtandao ni taasisi ya umma iliyoundwa kwa Sheria ya Serikali Mtandao Na. 10 ya mwaka 2019 ili kuratibu, kusimamia na kukuza jitihada za Serikali Mtandao na kuhimiza utekelezaji wa Sera, Sheria, Kanuni, Viwango na Miongozo ya Serikali Mtandao kwa taasisi za umma.
Huduma zetu zimesanifiwa na kutengenezwa na watalamu wetu kwa lengo la kuandaa mazingira wezeshi kwa taasisi za umma ili kutumia miundombinu na mifumo shirikishi ya pamoja kwa utoaji huduma bora kwa umma.
Serikali imeboresha na inaendelea kuboresha miundombinu na mifumo ya TEHAMA ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa njia ya mtandao kwa umma kwa uwazi na kwa gharama nafuu.
Sehemu hii inakupa Hotuba, Taarifa kwa umma, Maktaba ya Video na Picha, Habari, Kutoka Magazetini na Makala, Video na Picha za Matukio mbalimbali.
e-GA inanunua huduma au bidhaa zenye ubora, kwa wakati na kwa gharama nafuu ili kukidhi mahitaji yake kwa kuzingatia Sheria ya ununuzi Na.7 ya mwaka 2011 na Kanuni zake za mwaka 2013
Menyu hii imesheheni machapisho ya Sera, Sheria, Mpango Mkakati, Kanuni, Mkataba kwa Mteja, Fomu, Majarida na Ripoti mbalimbali.
Miongozo na Viwango vya Serikali Mtandao vimetayarishwa na kuwekwa hadharani kwa lengo la kusaidia taasisi za umma na wadau wengine kutoa huduma za serikali mtandao zinazoaminika na kwa gharama nafuu zaidi.
Kikao Kazi cha Serikali Mtandao kinalenga kuonesha jitihada mbalimbali za Serikali Mtandao zilizofanyika, zinazoendelea na zilizopangwa kufanyika ndani ya Serikali na kubainisha changamoto na fursa zilizopo na kuzitafutia ufumbuzi.
e-GA inatoa mafunzo mbalimbali ya kuwajengea uwezo Maofisa TEHAMA na watumishi wengine wa Umma ili kurahisisha utekelezaji wa jitihada za Serikali Mtandao nchini Tanzania.
Blogu hii imetengenezwa ili kueleza huduma na matukio mbalimbali ya Serikali Mtandao
Salaam za Mwaka Mpya 2017 kutoka kwa Waziri Angella Kairuki. Bofya hapa
Mtandao wa Mawasiliano Serikalini (GovNet)
Kuhifadhi Mifumo
Mfumo wa Ofisi Mtandao (GeOS)
Mfumo wa Usimamizi wa Mafunzo na Semina (TSMS)
e-Vibali
Huduma kwa Mteja
Tovuti ya Huduma za TEHAMA Serikalini (GISP)
Mfumo wa Huduma za Serikali kupitia Simu za Mkononi (mGov)
Mfumo wa Baruapepe Serikalini (GMS)