Taarifa ya Utendaji ya Wakala ya Serikali Mtandao 2012-2013 inapatikana katika tovuti hii (Sehemu ya Machapisho) Maofisa Habari kutoka NSSF wakipandisha taarifa katika Tovuti Kuu ya Serikali Maofisa Habari wa Serikali wakipandisha taarifa katika Tovuti Kuu ya Serikali wakati wa mafunzo ya upandishaji taarifa hizo yaliyofanyika Mjini Bagamoyo 26-30 Machi, 2014 Wakala ya Serikali Mtandao ni msajili rasmi wa majina yote ya mitandao ya Taasisi za Serikali (.go.tz na .mil.tz) Pata gazeti la Serikali katika Tovuti Kuu ya Serikali (www.tanzania.go.tz) Tovuti Kuu ya Serikali kupitia sehemu ya Nifanyeje  inakupa hatua mbalimbali za kufuata ili kupata huduma zinazotolewa na Taasisi za Serikali (www.tanzania.go.tz) Nyaraka mbalimbali za Serikali zinazopatikana katika Tovuti Kuu ya Serikali (www.tanzania.go.tz) Mwonekano wa mbele wa Tovuti Kuu ya Serikali (www.tanzania.go.tz) Sehemu kuu sita katika Tovuti Kuu ya Serikali (www.tanzania.go.tz) eGA inawezesha mifumo ya Taasisi za Serikali kuwasiliana na kubadilishana taarifa kwa kutumia raslimali za pamoja za TEHAMA eGA inawianisha rasilimali za pamoja za Serikali mtandao zilizopo. Tovuti Kuu ya Serikali ni dirisha moja la huduma za umma mbalimbali zinazotolewa na Serikali kwa njia ya mtandao. eGA inaboresha upatikanaji na utoaji huduma bora kwa Serikali, wafanyakazi, wafanyabiashara na wananchi kwa kutumia TEHAMA.
Mtendaji Mkuu

Kwa niaba ya watumishi wa Wakala ya Serikali Mtandao Tanzania, ninayo furaha kukukaribisha katika tovuti hii ambako  tunatumaini utapata taarifa za kuaminika unazozihitaji kwa ukamilifu kuhusu wigo, upeo wa mamlaka, dira, dhamira,

Dhamira yetu

Dhamira ya Wakala ya Serikali Mtandao ni kujenga mazingira bora kwa ajili ya uratibu,usimamiaji na uendelezaji wa matumizi ya TEHAMA kwa ajili ya kuboresha utoaji wa huduma za Serikali kwa Umma. 

Dira yetu

Kuwa Taasisi yenye ubunifu na yenye kuwezesha matumizi ya TEHAMA kwa ajili ya kuboresha utoaji wa huduma kwa umma.

Kaulimbiu :

Uwezeshaji wananchi kwa kutumia TEHAMA

Dhana ya Serikali Mtandao

Serikali Mtandao ni matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa lengo la kuboresha utoaji wa huduma kwa umma, kuhamasisha ushirikishwaji wa raia katika utoaji wa maamuzi yanayowahusu na kuwezesha uwepo wa  serikali iliyo wazi, inayowajibika na makini katika kutelekeleza majukumu yake kwa taifa. 

 

Soma zaidi

Mtandao wa Serikali

Taasisi za umma 72 zinaunganishwa katika mtandao mmoja wa mawasiliano ambao ni salama na wenye gharama nafuu kwa ajili ya data na mawasiliano. Taasisi zote za umma zitakuwa ndani ya mtandao mmoja wa mawasiliano wa  Serikali(LANs).

Soma zaidi

Matangazo

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya e -Government Agency (eGA) anatarajia kuendesha usaili na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili.

Soma zaidi

Soma zaidi

Habari Mpya

Tarehe : 2014-06-23

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue akitoa hotuba yake wakati wa kilel.

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue akitoa hotuba yake wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Um...

Zaidi

Tarehe : 2014-06-22

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt. Jabiri Bakari akiwasilisha mada

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt. Jabiri Bakari akiwasilisha mada wakati wa Kongamano la Wiki...

Zaidi

Video