e-Government Annual Meeting will be the 5th among a series of annual meetings organized by the e-Government Authority (e-GA) preceded by the 2015, 2027, 2023 and 2024 e-Government Annual Meetings. It is scheduled to take place from 11th-13th February, 2025 at the Arusha International Conference Centre (AICC) in Arusha, Tanzania.
Jitihada na Ubunifu wa Serikali Mtandao kwa Utoaji wa Huduma za Umma kwa Ufanisi
Ratiba Wadhamini Wazungumzaji Wakuu Soma zaidiKikao Kazi Cha 4 cha Serikali Mtandao 2024
Kuhakikisha uzingatiwaji wa Sera, Sheria, Viwango na Miongozo ya Serikali Mtandao kwa ubadilishanaji salama wa Taarifa
Ratiba Wadhamini Wazungumzaji Wakuu Soma zaidiKikao Kazi Cha 3 cha Serikali Mtandao 2023
Mifumo Jumuishi ya TEHAMA kwa Utoaji Bora wa Huduma kwa Umma
Ratiba Wadhamini Wazungumzaji Wakuu Soma zaidiMamlaka ya Serikali Mtandao iliandaa Kikao Kazi kwa ajili ya Wakuu wa Idara/Vitengo vya TEHAMA kutoka Taasisi za Umma kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Sayansi ya Kompyuta, Habari na Mawasiliano uliopo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuanzia tarehe 28 na 29 Aprili, 2022.
Serikali Kidijitali
Ratiba Wadhamini Wazungumzaji Wakuu Soma zaidiWakala ya Serikali Mtandao (eGA) iliandaa Kikao Kazi cha pili cha Serikali Mtandao kilichofanyika Januari 30 hadi Februari 2, 2019 katika ukumbi wa Chuo cha Sayansi ya Kompyuta, Habari na Mawasiliano uliopo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa lengo la kuonesha jitihada mbalimbali za Serikali Mtandao zilizofanyika, zinazoendelea na zilizopangwa kufanyika ndani ya Serikali, changamoto na fursa zilizopo na kuzitatua. Katika kikao hicho wadau wa serikali mtandao walibadilishana uzoefu, kujadili njia mbalimbali na kutatua changamoto na kuwa na uelewa wa pamoja kuhusu serikali mtandao.
Uwianishaji wa Rasilimali za TEHAMA kwa Maendeleo ya Viwanda
Ratiba Wadhamini Wazungumzaji Wakuu Soma zaidi