emblem
Mamlaka ya Serikali Mtandao
TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO/IEC 27001:2022 | ISO 9001: 2015
ega Logo
Habari
ega-svg-tree

Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) imefanya ziara ya mafunzo na kubadilishana uzoefu kuhusu uendeshaji wa vituo vya huduma kwa wateja (Call Centers and Customer Support) katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Benki ya CRDB na Kampuni ya DStv. Ziara hiyo ya siku tatu ilifanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Julai 21 hadi 23, 2026. Akielezea lengo la ziara hiyo, Mkurugenzi wa Huduma za TEHAMA wa e-GA, Bw. Ricco Boma, alisema Mamlaka ipo kati...

Soma Zaidi

Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) imeendelea kuimarisha utafiti na ubunifu wa teknolojia ya Akili Unde (Artificial Intelligence – AI) kupitia Kituo chake cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Serikali Mtandao (e-Government Research, Innovation and Development Centre -AI), kwa kutengeneza mifumo inayotumia AI ambayo kwa sasa ipo katika hatua ya majaribio (pilot). Akizungumza hivi karibuni, kuhusu mikakati ya e-GA katika matumizi ya tekno...

Soma Zaidi

Wadau wa Serikali Mtandao kutoka taasisi mbalimbali za umma wamekutana leo jijini Dodoma kujadili na kutoa maoni kuhusu rasimu ya Viwango na Miongozo ya Serikali Mtandao. Rasimu hiyo inalenga kuimarisha matumizi salama na yenye tija ya teknolojia zinazochipukia (emerging technologies) katika utoaji wa huduma za umma, sambamba na kuboresha usalama wa mifumo na taarifa za Serikali. Kikao kazi hicho cha siku mbili, kinachoendelea kuanzia Jula...

Soma Zaidi
Mpangilio