Mfumo wa Usimamizi wa Mafunzo na Semina (TSMS) umetengenezwa kwa ajili ya utunzaji kumbukumbu, kutoa taarifa za mafunzo na kufuatilia taarifa za wakurufunzi na wakufunzi zinazohusu mafunzo, semina, warsha,mikutano ya mwaka na vikao vya mifumo na huduma za Mamlaka ya Serikali Mtandao
TSMS ina moduli sita ambazo ni Mafunzo na Semina, Taasisi, Huduma, Mahali, Usimamizi wa Mtumiaji na Ripoti
Moduli hii inakuwezesha kujisajili kwa ratiba za mafunzo yote (Mafunzo/Semina/Warsha/ Mikutano ya Mwaka, n.k). Pia, inao...
Moduli hii inatoa fursa ya kutunza taarifa kuhusu taasisi na kuongeza au kupunguza taarifa hizo
Moduli hii inatoa taarifa kuhusu bidhaa za serikali mtanda zinazohusiana na raiba iliyopo
Moduli hii inatoa fursa ya kujua mahali kulingana na ratiba ili kumwezesha mtumiaji kupata taarifa
Moduli hii inaonesha watumiaji wote waliosajiliwa na hali yao kama ni amilifu (active) au si amilifu (inactive). Pia ina...
Nenda kwenye baruapepe yako kuangalia baruapepe ya kufungua ili uweze kutumia akaunti yako. Kama hakuna baruapepe, toa t...
Baada ya kusajili akaunti yak tu, utapokea baruapepe yenye linki ya kufungua. Bofya kufungua akaunti yako ya TSMS