Mfumo wa Huduma za Serikali kupitia Simu za Mkononi (mGov) http://mgov.ega.go.tz umetengenezwa kwa lengo la kujumuisha huduma zote za simu za mkononi Serikalini. Mfumo huu unatumia arafa (sms) katika kutoa na kupokea taarifa.Taarifa zinazopatikana katika mfumo huu zinaweza kutoka Serikalini kwenda kwa wananchi au kutoka kwa wananchi kwenda Serikalini kupitia namba 15200.Pia mfumo huu unatoa orodha ya namba...
Mfumo huu unatoa fursa kwa taasisi za Umma kufikisha huduma zake kwa njia ya arafa kwa wananchi wote.Arafa Kutoka Taasis...
Teknolojia ya namba za arafa inatumiwa na aina zote za simu ikiwemo simu za kawaida na simu smati, mtumiaji hahitaji kuu...
e-Wallet ni mfumo wa USSD unaomuwezesha mwananchi kulipia huduma mbalimbali za kiserikali kupitia wallet akaunti ya mtan...
1. Andika barua ya maombi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao
2. Wasilisha maelezo ya tatizo
3. Hudhuria mkutano wa kukusanya mahitaji kwenye ofisi za e-GA
4. Toa maoni na kukubali huduma hiyo iliyojaribiwa na kuoneshwa kwako
5. Lipa ada inayostahili kama ilivyoainishwa kupitia Akaunti ya Mapato ya Mamlaka (e-Government Authority Revenue A/C) Na. 20110002340, NMB Bank.
6. Utakabidhiwa rasmi Mfumo wa Huduma kwa Simu za Mkononi
Zingatia:
Utengenezaji wa mfumo wa huduma kwa simu za mkononi unategemea ukubwa wa tatizo lililowasilishwa.