Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora

Wakala ya Serikali Mtandao.

Waziri wa Fedha Mh Saada Mkuya aipongeza eGA

Waziri wa Fedha Mh Saada Mkuya aipongeza eGA

2014-12-05

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb)  ameipongeza Wakala ya Serikali Mtandao kwa juhudi kubwa wanazozifanya ili kukuza na kuendeleza jitihada za Serikali Mtandao nchini .

Alisema hayo katika ziara yake fupi katika ofisi za Wakala hiyo jijini Dar es salaam Disemba 5, 2014.

Katika picha ni Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt. Jabiri     Bakari.