Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora

Wakala ya Serikali Mtandao.

Katibu Mkuu OR-MUU Akifunga Kikao Kazi cha Watumishi wa eGA

Katibu Mkuu OR-MUU Akifunga Kikao Kazi cha Watumishi wa eGA

2014-11-16

Katibu Mkuu ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D.  Yambesi, amewataka watumishi wa eGA kufuata kanuni za maadili ya utumishi wa umma na kuwa na mwenendo mzuri ili kuweza kutoa huduma bora kwa wananchi.

Alisema hayo alipokuwa akifunga kikao kazi cha watumishi wa   Wakala ya Serikali  Mtandao kilichofanyika katika Hotel ya Oceanic Bay Resort mjini Bagamoyo Novemba 16,2014.