Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora

Wakala ya Serikali Mtandao.

Kuahirisha Warsha ya Mafunzo kwa Maofisa wa Mkoa Morogoro

Kuahirisha Warsha ya Mafunzo kwa Maofisa wa Mkoa Morogoro

2014-10-24

Mkurugenzi wa  Usimamizi wa TEHAMA Bw. Benedict Ndomba akifunga Semina ya mafunzo kwa Maafisa Habari na Wachambuzi wa Mifumo ya Kompyuta wa Halmashauri za Mkoa wa Morogoro juu ya jinsi ya kuweka taarifa katika tovuti za Mkoa huo.

Akifunga warsha ya siku tano, Mkurugenzi huyo amewaasa watumishi hao kuzingati mambo waliyojifunza ili kuboreha sekta ya Tehama katika mkoa huo na nchini nzima kwa jumla. Utendaji huo unatakiwa kuzangatiaji misingi, kanuni na maadili ya utumishi wa umma. Mafunzo hayo yamefanyika kwa muda wa siku tano na kuhitimishwa Oktoba 24, 2014