Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora

Wakala ya Serikali Mtandao.

Mafunzo kwa Maofisa Habari na Tehama wa Serikali

Mafunzo kwa Maofisa Habari na Tehama wa Serikali

2014-10-28

Maofisa Habari na TEHAMA kutoka Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo wakiwa katika mafunzo ya jinsi ya kuendesha mfumo wa tovuti ya wananchi.  Mfumo huo utawasaidia wananchi kutoa hoja au kero zao kwa Serikali kupitia Wizara hiyo na kutafutiwa majibu ndani ya siku tano za kazi.

Mafunzo hayo yanafanyika katika ofisi za Wakala ya Serikali Mtandao kwa muda wa siku tano kuanzia tarehe 27 hadi 31 Oktoba 2014.