Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora

Wakala ya Serikali Mtandao.

Mafunzo kwa Maofisa Mawasiliano wa Serikali

Mafunzo kwa Maofisa Mawasiliano wa Serikali

2014-09-17

Maofisa Mawasiliano wa Serikali wakiwa katika semina ya jinsi ya kutengeneza taarifa na namna ya kuzipandisha katika Tovuti Kuu ya Serikali. Semina hiyo ilifanyika mjini Bagamoyo ambapo Mkufunzi wa mafunzo hayo aliwaasa Wakurufunzi wote kujitoa kwa dhati kupitia Tovuti Kuu ya Serikali na kuweka taarifa mpya mara kwa mara kwani  wananchi wanapenda kuona taarifa mpya kila wakati.