Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora

Wakala ya Serikali Mtandao.

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue akihotubia

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue akihotubia

2014-09-01

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue akitoa hotuba yake wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dares Salaam, tarehe 23 Juni, 2014.