emblem

Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma
TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015

KAMATI YA UFUNDI YA SERIKALI YA SERIKALI MTANDAO YAKUTANA JIJINI DODOMA


KAMATI YA UFUNDI YA SERIKALI YA SERIKALI MTANDAO YAKUTANA JIJINI DODOMA


Kamati ya Ufundi ya Serikali ya Serikali Mtandao, imekutana leo Juni 14, 2024 jijini Dodoma kujadili utekelezaji wa jitihada za Serikali Mtandao kwa mwaka wa fedha 2023/2024.

Kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) jijini Dodoma, na kuongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Bw.Priscus Kiwango ambaye pia ni Mkurugenzi wa TEHAMA, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.