Tovuti ya Huduma za TEHAMA Serikalini (GISP)

Tovuti ya Huduma za TEHAMA Serikalini (GISP)

Tovuti ya Huduma za TEHAMA Serikalini (GISP) ni dirisha moja la huduma za TEHAMA Serikalini, Miradi na Msaada wa Kiufundi inayotolewa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kwa taasisi za umma. Tovuti hii inahakikisha usimamizi bora wa miradi ya TEHAMA, utoaji wa huduma bora na ushirikishwaji wa taasisi za umma kwa ufanisi.

Manufaa

Improve public service delivery

Sifa za Mfumo

Manufaa ya Mfumo wa GISP

  • star
  • star
  • star
  • star
  • star
  • 1. Huboresha utoaji huduma kwa umma.

    2. Mfumo huu huleta ushirikiano baina ya Mamlaka na taasisi nyingine za Umma.

    3. Mfumo huu unahakikisha miradi yote imefuata na kukidhi Miongozo na Viwango vilivyowekwa na Mamlaka.

    4. Inapunguza urudufu wa mifumo na gharama ya kutengeneza mifumo inayofanya kazi moja.

    5. Kuruhusu tena utumikaji wa jitihada za Serikali Mtandao zilizofankiwa kwenye taasisi za umma.

    Moduli Za Bidhaa

    Miradi ya TEHAMA

    Miradi ya TEHAMA

    Moduli hii inawezesha taasisi za umma kusajili miradi ya TEHAMA iliyopangwa, inayoendelea na iliyokamilika kwa ajili ya...

    Rasilimali za TEHAMA

    Rasilimali za TEHAMA

    Moduli hii inawezesha taasisi za umma kusajili rasilimali za TEHAMA zikiwemo kompyuta, mifumo na vifaa vya chumba cha se...

    Huduma za TEHAMA

    Huduma za TEHAMA

    Hii ni moduli inazozipa fursa taasisi za umma kuomba huduma zote za TEHAMA na mifumo inayotolewa na Mamlaka ya Serikali...

    Huduma kwa Mteja

    Huduma kwa Mteja

    Hili ni dirisha moja la mawasiliano linalozipatia taasisi za umma taarifa na msaada wa kiufundi unaohusiana na Mifumo na...

    Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

    Je, unataka kusajili mradi mpya wa TEHAMA?

    Ni lazima usajiliwe kwanza kabla ya kuanza kuingia/logia Upande wa kushoto katika Menyu ya TEHAMA, chagua “Register ICT...

    Je, unataka kuhuisha wasifu wa Taasisi?

    Bofya linki ya kuingia/logia upande wa juu wa ukurasa Ingiza utambulisho wako (jina la mtumiaji na nywila) Unaweza kupa...

    Je, unataka kupata hatua iliyofikia Miradi ya TEHAMA iliyowasilishwa?

    Lazima uingie/logia kwenye GISP kwa kubofya kitufe cha “login” upande wa juu wa ukurasa Ingiza utambulisho wako jina la...

    Je, unatafuta Huduma za TEHAMA au Mifumo?

    Huduma na Mifumo ya Mamlaka imepanwa katika makundi yafuatayo;Huduma za Ushauri wa Kitaalamu na Msaada wa Kiufundi Mifum...

    Je, unataka kupata hatua iliyofikia huduma uliyoiomba?

    Ni lazima ulingie/logia kwenye GISP kwa kubofya kitufe cha “login” upande a juu wa ukurasa Ingiza utambulisho wako (jin...

    Je, unataka kupata msaada wa Kiufundi wa TEHAMA?

    Kama huna akaunti ya huduma kwa mteja, tuma baruapepe kwa egov.helpdesk@ega.go.tz au piga simu +255764292299, +255763292...

    Je, unataka kutoa taarifa ya suala la usalama wa mifumo ya TEHAMA?

    Lazima usajiliwe kwanza kabla ya kuanza kuingia Upande wa kushoto chini ya Menyu ya TEHAMA, chagua “Security Incident” J...

    Nifanyaje

    Kusajili mradi mpya wa TEHAMA?

    1. Ni lazima usajiliwe kwanza kabla ya kuingia / logia
    2. Upande wa kushoto katika menyu ya TEHAMA chagua “Register ICT Project”
    3. Jaza maeneo yote yanayotakiwa kwa mujibu wa “Concept Note Form”
    4. Baada ya kukamilisha bofya “Submit”
    5. Baada ya kufanikiwa kuwasilisha mradi wa TEHAMA uliosajiliwa, utapokea uthibitisho kuwa umefanikiwa kuwasilisha mradi kwa ajili ya mapitio

    Kuhuisha wasifu wa Taasisi?

    1. Bofya linki ya kuingia / logia upande wa juu a ukurasa
    2. Ingiza utambulisho wako (jina la mtumiaji na nywila)
    3. Unaweza kupata wasifu wa taasisi yako kwa kubofya kitufe cha “Institution Profile” upande wa juu wa “tab”. Halafu bofya kitufe cha “edit” kuhariri wasifu wako halafu “save”

    Kupata hatua ya Miradi ya TEHAMA iliyowasilishwa?

    1. Lazima uingie/logia kwenye GISP kwa kubofya kitufe cha “login” upande wa juu wa ukurasa
    2. Ingiza utambulisho wako jina la mtumiaji na nywila)
    3. Upande wa kushoto kwenye Menyu ya Mradi wa TEHAMA, chagua “Project List”
    4. Orodha ya Miradi itajitokeza, halafu tafuta au chagua mradi ili uone hatua iliyofikia

    Kupata hatua iliyofikia huduma uliyoiomba?

    1. Ni lazima ulingie/logia kwenye GISP kwa kubofya kitufe cha “login” upande a juu wa ukurasa
    2. Ingiza utambulisho wako (jina la mtumiaji na nywila)
    3. Upande wa kushoto kwenye Menyu ya Huduma, chagua “Requested Services”
    4. Huduma zilizoombwa zitaonekana halafu tafuta au chagua huduma iliyoombwa kuangalia hatua iliyofikia

    Kupata msaada wa kiufundi wa TEHAMA?

    1. Kama huna akaunti ya huduma kwa mteja, tuma baruapepe kwa egov.helpdesk@ega.go.tz au piga simu +255764292299, +255763292299 kuomba akaunti. Akaunti itafunguliwa kwa watumiaji wa taasisi za umma walioidhinishwa tu. Baruapepe ya kuhakiki itatumwa na kukutaka kutayarisha na kuthibitisha nywila yako
    2. Kama una akaunti ya huduma kwa mteja, tuma baruapepe au piga simu +255764292299, +255763292299 kueleza tatizo unalokabiliana nalo

    Kutoa taarifa ya tukio la kiusalama?

    1. Ni lazima usajiliwe kwanza kabla ya kuanza kuingia
    2. Upande wa kushoto chini ya Menyu ya TEHAMA, chagua “Security Incident”
    3. Jaza maeneo yote yanayotakiwa kwa mujibu wa fomu
    4. Bofya kitufe cha “Submit” baada ya kukamilisha
    5. Baada ya kufanikiwa kuwasilisha tukio la usalama, utapokea uthibitisho kuwa umefanikiwa kuwasilisha tukio la usalama

    Wasiliana Nasi

    • Ofisi ya Rais,
    • Mamlaka Ya Serikali Mtandao
    • Mamlaka ya Serikali Mtandao 8 Barabara ya Kivukoni, Jengo la Utumishi
    • S.L.P 4273, Dar es Salaam
    • +255222129868
    • info@ega.go.tz