Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora

Wakala ya Serikali Mtandao.

Mtandao wa Serikali

Mtandao wa Serikali

Wakala ya Serikali Mtandao inaunganisha Taasisi za Umma 72 katika mtandao mmoja wa mawasiliano ambao ni salama na wenye gharama nafuu kwa ajili ya data na mawasiliano. Aidha, taasisi zote za umma zitakuwa ndani ya mtandao mmoja wa mawasiliano wa  Serikali(LANs).