
Malalamiko
Malalamiko
Kitendo cha mteja/ kikundi /taasisi kuonyesha hali ya kutoridhishwa na huduma inayotolewa na taasisi, hivyo kuamua kutoa taarifa ya kutoridhika kwa matarajio kwamba marekebisho yatafanyika.
- Malalamiko yatapokelewa na kushughulikiwa na kuhifadhiwa kwa usiri unaostahili.
- Mteja atapata majibu ya lalamiko lake kama ilivyoelezwa katika mkataba wa huduma kwa mteja wa wakala.