
Wajumbe wa Bodi ya Ushauri
Wajumbe wa Bodi ya Ushauri

Prof. Joseph Semboja
M/Kiti,
(Mtendaji Mkuu Uongozi Institute)

Dr. Jabiri Kuwe Bakari
Katibu,
(Mtendaji Mkuu, Wakala ya Serikali Mtandao)

Eng. Peter Ulanga
Mjumbe
(Mtendaji Mkuu, Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote)

Mr. Mohammed Pawaga
Mjumbe
(Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Tume ya Mapitio ya Katiba.)

ACP Albert Nyamuhanga
Mjumbe
(Mkuu wa Kitengo cha Sera, Mipango na Bajeti, Jeshi la Polisi la Tanzania )

Prof. Evelyne Isaac Mbede
Mjumbe
(Mkurugenzi wa Sayansi na Teknolojia, Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia)

Mr. Priscus Kiwango
Mjumbe,
Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma.